Fungate ya uhuru
About this book
Diwani ya mashairi mbalambali yenye mitindo na maudhui tofauti.Mengi ya mashairi yake ni ya kisiasa,kijamii,kiuchumi na mapenzi.Mwandishi katika kitabu hiki anelezea jinsi wanasiawa baada ya kupata uhuru kwa taabu wamewawasahau wananchi nao kubaki kuendelea na raha na starehe kwa jasho la umma.Sherehe ya uhuru ya fungate kwao haijesha.Wamewasahao wananchi waliopigania uhuru.